Hapa ndio njia panda ya wapendanao,wenye kujali ya wenzao kabla ya kwao na kama hu katika hao basi haraka wapishe walio kwao...........
Friday, May 17, 2013
Si pakiwa na raha tu bali hata kipindi cha shida pia yatupasa kuwa karibu tena ikibidi hata kuzidi ya hapa, mana hivyo ndivyo familia inabidi iwe,huu uwe mnyororo ambao maadui dhaifu na imara wote washindwe kuukata.
No comments:
Post a Comment