Friday, May 17, 2013

Hahahahahaaaaaaa......... Eti kuna watu mpaka leo wanaamini ya kwamba kumuomba msamaha mke wake ni kigezo tosha cha kumfanya aonekane ni MUME BWEGE kwa jamii. amka toka kwenye hiyo ndoto mana kuna wengine wanatumia mwanya huohuo kuipindua hiyo meli ya uhusiano wenu eti kisa hua anamuomba msamaha mkeo pindi anapokosea aidha wakiwa kazini au popote, halafu sasa matokeo yake anapewa msamaha na yote mabaya na mazuri ya ulimwengu huu, Mola tafadhali niepushe katika hao
Aaaaaamin.

No comments:

Post a Comment