Wednesday, May 15, 2013

Laazizi wangu wa milele















Hata ndege hupaa lakini mwisho anatua, naamini wewe ni mti wenye matunda ambao kamwe sitoruka tena toka kwenye mti huo, naomba nijenge na kiota kabisaa ili nile na kulala hapahapa.
Rahma John Seni......amini usiamini wewe ndie malikia wangu wa bara zima hili la Afrika na ulimwengu kwa ujumla.naomba uniletee matunda yatakayofanana na wewe

AAAAAMIIIIN


This all i can say to you my babygirl, just listen up and u will understand who you real are to me....mother of my beloved coming children.{Can you just sing whats in ma heart Mr.2face?}

No comments:

Post a Comment