Wednesday, May 15, 2013

Popote ulipo na mkeo au mumeo ni nyumbani tayari, haijalishi milango,madirisha au vitanda na makochi ya kukalia bali ni mwenza halali atambuliwae na mungu tu.hata niwe sehemu yenye mandhar nzur kupita hata Dar mjini au Shinyanga vijijini, bado sitakuwa nyumbani bila mke wangu jamani.

No comments:

Post a Comment